Home » » Welcome to Kilimanjaro Region Tanzania

Welcome to Kilimanjaro Region Tanzania


Mkoa wa Kilimanjaro uko Kaskazini Mashariki mwa Tanzania Bara. Mkoa unapakana na Jamhuri ya Kenya upande wa Kaskazini, Mkoa wa Tanga upande wa Kusini Mashariki, Mkoa wa Arusha upande wa Mashariki na Mkoa wa Manyara upande wa Kusini Magharibi. 
Mkoa una jumla ya watu wapatao 1,376,702 (Sensa 2002). Kati yake wanaume ni 664,853 na Wanawake ni 711,849. Makisio ya mwaka 2006 mkoa una watu 1,466,052 katika mgawanyiko kiwilaya. Ili kutazama jedwali linaloonesha sensa ya 2002 na makisio ya mwaka 2006 
Source: Tanzania Regions Site

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa