Home » » TANESCO KILIMANJARO YAKABIDHI MSAADA KWA KITUO CHA KULEA WAZEE NJIRO

TANESCO KILIMANJARO YAKABIDHI MSAADA KWA KITUO CHA KULEA WAZEE NJIRO

 MENEJA WA MKOA MHANDISI MACLEAN MBONILE AKIKABIDHI VIFAA VYA USAFI KWA OFISA MFAWIDHI WA KITUO BI NDETA TENGA
 MENEJA WA MKOA MHANDISI MACLEAN MBONILE AKIKABIDHI MAFUTA KWA WAZEE KATIKA KITUO HICHO
 MFANYAKAZI WA TANESCO BI NURU HOSEA AKIMSAIDIA  BIBI MZEE ANAELELEWA KITUONI HAPO KUTEMBEA KATIKA KITI CHAKE MAALUM
 MENEJA WA MKOA MHANDISI MACLEAN MBONILE  PAMOJA NA AFISA UHUSIANO WA TAENESCO MKOA WA KILIMANJARO SAMUEL MANDARI WAKIKABIDHI MEZA PAMOJA NA VITI KWA OFISA MFAWIDHI WA KITUO BI NDETA TENGA
 WAFANYAKAZI WA TANESCO MKOA WA KILIMANJARO WAKIJIANDAA KUKABIDHI MISAADA KWENYE KITUO HICHO CHA KULEA WAZEE.
 WAFANYAKAZI WA TANESCO MKOA WA KILIMANJARO WAKISHIRIKI ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA KITUO CHA KULEA WAZEE.
 WAFANYAKAZI WA TANESCO MKOA WA KILIMANJARO WAKIPASUA KUNI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA CHAKULA KWA WAZEE WANAOLELEWA KITUONI HAPO
  WAZEE WA KITUO CHA LANGONI  WANAFURAHIA WAKIWA WAMEPUMZIKA KATIKA VITI NA MEZA VILIVYOTOLEWA NA TANESCO
 PICHA YA PAMOJA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA UMEME TANESCO NA WAZEE WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA LANGONI

Wafanyakazi wa shirika la umeme TANESCO Mkoa wa Kilimanjaro mnamo tarehe 08/08/2016 walitoa msaada wa vyakula na bidhaa mbalimbali kwenye kituo cha kulea wazee Njiro Kilichopo ndani ya maspaa ya moshi .Kama ulivyo utaratibu wa wafanyakazi wa Tanesco mkoa wa Kilimanjaro kushiriki katika masuala ya kijamii awamu hii pamoja na misaada hiyo kwa kituo hicho walishiri zoezi la usafi wa mazingira ya kituo hapo na kujumuika kunywa vinywaji laini wakiwa wanabadilishana mawazo na wazee hao. Kati ya vifaa walivyokabithi kwa kituo hicho ni VITI,MEZA,na vifaa vya usafi kama mabeseni,mabuti,mafagio n.k

Samuel Mandari
AFISA UHUSIANO TANESCO KILIMANJARO






0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa