Home » » Washindi wa Tuzo za Kili Music Award 2012 waifunika uwanja wa Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro jana.

Washindi wa Tuzo za Kili Music Award 2012 waifunika uwanja wa Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro jana.

Msanii AT kutoka Zanzibar akitumbuiza jukwaani na wacheza sho wake wakati wa show maalum ya Washindi wa Kili Music Award kwenye uwanja wa Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro  jana
Mkali wa Bongo fleva Ali Kiba akiimba jukwaani hii leo wakati wa show maalum ya Washindi wa Kili Music Award iliyofanyika kwenye uwanja wa Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro  jana
 Gwiji la Muziki wa Taarabu nchini, na Mshindi wa Tuzo ya Mtumbuizaji bora wa Kike, Hadija Kopa akifanya makamuzi  katika tamasha maalum la Washindi wa Kili Music Award 2012 kwenye uwanja wa Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro  jana. 
Roma Mkatoliki akitumbuiza jukwaani wakati wa show maalum ya Washindi wa Kili Music Award  kwenye uwanja wa Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro  jana.
Picha zote kwa hisani ya Blog ya Jiachie 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa