Home » » MAREHEMU KAMANDA LIBERATUS BARLOW AZIKWA LEO KWAO MKOANI KILIMANJARO.

MAREHEMU KAMANDA LIBERATUS BARLOW AZIKWA LEO KWAO MKOANI KILIMANJARO.



 Mafundi wakiwa katika harakati ujenzi wa nyumba ya milele (Kaburi) ya Aliekuwa Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza,Marehemu Liberatus Barlow (RPC) huko kijijini kwao Kilema Kioo,Mkoani Kilimanjaro mapema leo asubuhi.Marehemu Liberatus Barlow (RPC) aliuwawa kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huko Kitangiri,jijini Mwanza hivi karibuni.
Hii ni sehemu iliyotengwa maalum kwa viongozi.
 Viongozi mbali mbali wakiwa kwenye Misa ya Kuaga Mwili wa Marehemu.
 Mwili wa Marehemu ukiwasili Nyumbani.
 Brass Band ya Polizi ikiongoza

 Misaa ikiendelea,

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa