Home » » Mwili Wa Marehemu Vicky Macha Wafika Moshi

Mwili Wa Marehemu Vicky Macha Wafika Moshi


Jeneza
lililobeba mwili wa marehemu Vicky Macha (juu na chini) likishushwa na
kuingizwa kwenye sehemu ya kuhifadhia maiti katika Hospitali ya KCMC
mjini Moshi muda mfupi uliopita. Maziko yanatarajiwa kufanyika kesho
Jumatano.


Mama wa marehemu Vicky (katikati) akilia kwa uchungu kabla ya mwili kuhifadhiwa KCMC.

Hapa
ni mzunguko wa katikati ya Mji wa Moshi ambako panaonyesha taswira
halisi ya usafi wa mji huo pamoja na kusisitiza umuhimu wa maisha kwa
uhai wa viumbe vyote (Maji ni Uhai)
Wanahabari
kutoka Iringa wakiwa nje ya Hospitali ya KCMC kabla ya kuuhifadhi mwili
wa marehemu Vicky Macha muda mfupi uliopita. Maziko yatafanyika kesho
Jumatano.


Picha Na Mjengwa Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa