Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
![]() |
Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara . |
![]() |
Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi hiyo. |
![]() |
Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira. |
![]() |
Safari ya kuelekea kilele cha Shira ikianza. |
![]() |
Baadhi ya watalii wa ndani. |
![]() |
Hali ya hewa katika eneo hili ni ya kubadilika . |
![]() |
Watalii wa ndani wakielekea katika kilele. |
![]() |
Wengine walikuwa na furaha mara baada ya kufika katika uwanda wa Shira. |
![]() |
Wengine waliamua kupumzika njiani.kama anvyoonekana m,wandishi James Paul wa ITV. |
0 comments:
Post a Comment