Home » » SHEREHE YA WAFANYAKAZI KISSA PHARMACY LTD KIJIJINI MAKANYA SAME MOSHI‏

SHEREHE YA WAFANYAKAZI KISSA PHARMACY LTD KIJIJINI MAKANYA SAME MOSHI‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Mgurugenzi Kissa Pharmacy Ltd Ndugu Gaspar Kilango Singo akizungumza na wafanyakazi wake katika sherehe hiyo iliyofanyika kijijini kwao Mnazi Makanya Wilayani Same Moshi Kilimanjaro


·       Wafanyakazi  Kissa Pharmacy Ltd  Pharmaceuticals Whole Sale And Retali Mbeya Tz wenye makao makuu jijini mbeya wakiserebuka katika sherehe ya wafanyakazi iliyoandaliwa na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Ndugu Gasper Kilango Singo kijijini kwao Mnazi Makanya Kilimanjaro Moshi
 
Ndugu na jamaa wa familia ya Kilango wakijumika pamoja katika sherehe hiyo.


Wazazi wa Mkurugenzi Kissa Pharmacy Ltd













Picha- Emanuel Madafa Jamiimojablog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa