Home » » TANGAZO KATIZO LA UMEME TAREHE 26/10/2016 WILAYA YA ROMBO,MWANGA NA HIMO

TANGAZO KATIZO LA UMEME TAREHE 26/10/2016 WILAYA YA ROMBO,MWANGA NA HIMO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


SHIRIKA LA UMEME TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA

KATIZO LA UMEME

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake mkoani Kilimanjaro kuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya jumatano 26/10/2016 kama ifuatavyo:

   
                    
MUDA :     :   SAA  02:00 ASUBUHI HADI SAA 11:00 JIONI.

SABABU    :   KUFANYA MABORESHO YA MIUNDOMBINU

LENGO      :  KUWEKA MAZINGIRA YA UPATIKANAJI UMEME WA UHAKIKA
                              

MAENEO YATAKAYO ATHIRIKA NI:-
HIMO YOTE  , WILAYA YA ROMBO  YOTE,NA BAADHI YA MAENEO YA WILAYA YA MWANGA.


TAFADHALI :

Usiguse wala kusogelea waya uliokatika au kuanguka chini,

Toa taarifa ya dharula kwenye ofisi ya TANESCO ROMBO kupitia namba 0272757276,0688794753,0688794573 au
TANESCO KILIMANJARO 0272755007,0272755008,na0272754035 ,0682771310 ,0765397925

         
SHIRIKA LINAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAO JITOKEZA


IMETOLEWA NA: -

AFISA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA –TANESCO KILIMANJARO.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa