Wakitekeleza agizo la Raisi Mh.Dkt .John P.Magufuli kwa kushiriki usafi wa mazingira kila mwezi,wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro tarehe 24/09/2016 Jumamosi ya mwisho wa mwezi wa SEPTEMBER 2016 walifanya usafi maeneo mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro ikiwemo Soko la Dar-Street,Kiusa street na Barabara ya Mahakama Kuu,Na kuhakikisha Mkoa unakuwa katika mazingira safi .
SAMUEL MANDARI -AFISA UHUSIANO TANESCO MKOA KILIMANJARO
1. Wafanyakazi wa TANESCO James
Kiting’ati , Bi Enna Ringo pamoja na wafanyakazi wenzao wakifagia barabara ya
soko la Dar-street (Korongoni).
1. Mfanyakazi wa TANESCO Bi Enna Ringo
akishiriki zoezi la usafi kwenye mtaa wa Korongoni kwenye siku hiyo ya usafi ya
kila mwezi
1. Wafanyakazi Sanura Kahumba na Neema
Sekibuyu wakishiriki zoezi la usafi mkoani Kilimanjaro.
1. Wafanyakazi wa TANESCO Elinami
Manyanga,Philipo Kessy na Bi ENNA RINGO wakiwajibika kufanya usafi.
Wafanyakazi
wa TANESCO Lucy Ndelechi,Robson Chaya,Elinami Manyanga,James Kiting’ati wakiondoa taka ngumu ilikuweka mkoa wa Kilimanjaro
katika hali ya usafi
Petro
Simkanga pamoja na Arbogast Ngoe watumishi wa shirika la umeme TANESCO
Kilimanjaro wakiokota Takataka katikati ya Manisipaa ya Moshi katika zoezi hilo
la usafi
Team
nzima ya wafanyakazi wa TANESCO walioshiriki zoezi la usafi wakijipongeza baada
ya kukamisha kazi hiyo.
0 comments:
Post a Comment