Home » » MOTO WAZUKA DUKA LA VIFAA VYA UJENZI MJINI MOSHI

MOTO WAZUKA DUKA LA VIFAA VYA UJENZI MJINI MOSHI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.


Moto umezuka katika duka la vifaa vya ujenzi la Chavda lililopo Double road katika manispaa ya Moshi na kutekeketeza bidhaa mbalimbali.

Taarifa kutoka eneo la tukio zinadai moto huo ulianza majira ya Saa 6: 47 za mchana hata hivyo jeshi la zima moto kutoka Kiwanda cha TPC kwa kushirikiana na jeshi la polisi wanaendelea na jitihada za kuzima moto huo. Picha na Dixon Busagaga.

Sehemu askari Polisi na kikosi cha zimamoto pamoja na wananchi wakisaidiana kutafuta mbinu za kuudhibiti moto uliozuka katika duka la vifaa vya ujenzi la Chavda lililopo Double road katika manispaa ya Moshi na kutekeketeza bidhaa mbalimbali.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa