Mbunge
wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na
wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe,
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo.
Kimei
yupo jimboni kuzungumza na wananchi wa Jimbo hilo kusikiliza na kutolea
ufafanuzi wa masuala na kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Katika
ziara yake hiyo aliambatana na diwani wa kata ya Kahe Mhe Aloyce
Momburi, wajumbe wa kamati ya siasa ya kata wakiongozwa na katibu wa CCM
Kata Ndg Melau Laizer, maafisa watendaji kata na vijiji wakiongozwa na
Ndg Happy Msuya pamoja na wataalam toka bonde la Mto Pangani.
0 comments:
Post a Comment