Home » » Maonyesho ya wiki ya Mazingira kitaifa Mkoani Kilimanjaro

Maonyesho ya wiki ya Mazingira kitaifa Mkoani Kilimanjaro

Afisa kutoka idara ya muungano ya Ofisi ya Makamu wa Rais Bi martha Mashuki, akitoa elimu ya muungano kwa Bw. Mohamed Ngwalima mkurugenzi wa wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa katika maonyesho ya wiki ya mazingira kitaifa Mkoani Kilimanjaro, kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ambayo kilele chake ni tarehe 5June ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani Mh Dtk Jakaya Mrisho Kikwete.
Bw. Emmanuel Marija , Mhamasishaji kutoka taasisi isiyo ya serikali inayojishughulisha na masuala ya utunzaji wa mazingira,akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la ofisi ya makamu wa rais katika maonyesho ya wiki ya mazingira kitaifa Mkoani Kilimanjaro, kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ambayo kilele chake ni tarehe 5June ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani Mh Dtk Jakaya Mrisho Kikwete 
(Picha na Ali Meja wa Ofisi ya makamu wa Rais)

1 comments:

uscuta2000 said...

Safi sana ,tuwekee matukio mablimbali kutoka kwenye vijiji mbalimbali.
Inaweza kutusaidia kwenye swala la utalii wa mjini na uwekezaji.Mfano wa matukio kama Kil marathon video za utumiaji miundombinu kama barabara nk
Asante.

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa