Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga (kulia) na Mkurugenzi
wa Kitengo cha Uwezeshaji cha Kampuni ya HeidelbergCement, Barry
Hudson wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa madarasa mawili
YA Shule ya Sekondari Kighare yaliyojengwa na HeidelbergCement kwa
ushirikiano na Kampuni ya Tanzania Portland Cement (TPCC) na wakala wa usambazaji wa saruji za Twiga ya Joram General Enterprises Ltd. Hafla hiyo ilifanyika Mwanga, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki.

Hudson wakifungua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa madarasa mawili

ushirikiano na Kampuni ya Tanzania Portland Cement (TPCC) na wakala wa
usambazaji wa saruji za Twiga ya Joram General Enterprises Ltd. Hafla
hiyo ilifanyika Mwanga, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Saruji ya Tanzania Portland
Cement (TPCC), Pascal Lesoinne akizungumza katika hafla ya uzinduzi
rasmi madarasa mawili ya Shule ya Sekondari Kighare, yaliyojengwa na
Kitengo cha Uwezeshaji cha Kampuni ya HeidelbergCement kwa
kushirikiana na TPCC na wakala wa usambazaji wa saruji za Twiga ya
Joram General Enterprises Ltd. Hafla hiyo ilifanyika Mwanga,
Kilimanjaro mwishoni mwa wiki. Madarasa hayo yalibomolewa na mafuriko
mwaka jana.

Picha ikionyesha majengo ya madarasa hayo yaliyojengwa na Kitengo
cha Uwezeshaji cha Kampuni ya HeidelbergCement kwa kushirikiana na
TPCC na wakala wa usambazaji wa saruji za Twiga ya Joram General
Enterprises Ltd.

Copyright 2007 ©MICHUZI JR
0 comments:
Post a Comment