Home » » SERIKALI NA TIB ZATILIANA SAINI MKATABA WA UJENZI WA SOKO LA KIMATAIFA KILIMANJARO

SERIKALI NA TIB ZATILIANA SAINI MKATABA WA UJENZI WA SOKO LA KIMATAIFA KILIMANJARO



 Mwakilishi wa Benki ya TIB,  Bw. Allan Magoma akiongea kwenye hafla hiyo
 Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Faisal Issa(kulia) na mwakilishi wa Benki ya TIB, Allan Magoma wakitiliana saini mkataba wa ujenzi wa soko la kisasa la Okolova wilayani Moshi, litakalogharimu kiasi cha shilingi bilioni 10. Waziri wa masuala ya Jumuiya ya Afrika mashariki Mhe Samwel Sitta, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Dkt. Ibrahim Msengi wakishuhudia
 Kubadilishana nyaraka
 Waziri wa jumuiya ya Afrika mashariki Mhe Samwel Sitta ambaye alishuhudua zoezi la utilianjai saini akizungumza mara baada ya kuangalia michoro ya ujenzi wa soko hilo.
Mchoro wa soko hilo ikioneshwa.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa