|
Meneja
masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akikabidhi hundi
ya sh Milioni 3 kwa kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz
ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Polisi Kilimanjaro
inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro, kushoto
kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini
Edimund Lutaraka. |
|
Meneja
masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akimkabidhi mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama Mpira ikiwa ni sehemu ya msaada kwa
timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya
mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya
Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka. |
|
Viongozi
wa timu ya Polisi Kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi
wa kampuni ya Megatrade(T)Ltd muda mfupi baada ya kukabidhiwa zawadi. |
|
Viongozi
wa timu ya Polisi Kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi
wa kampuni ya Megatrade(T)Ltd muda mfupi baada ya kukabidhiwa zawadi. |
|
Meneja
masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akikabidhi hundi
ya sh Milioni 3 kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ikiwa ni
sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja
la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa
Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka. |
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment