| Mkurugenzi mkuu wa Benki ya CRDB Dk Charles Kimei akifanya malipo kwa njia ya kadi katika hospitali ya rufaa ya KCMC ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa huduma hiyo. |
| Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa tawi dogo la CRDB pamoja na uzinduzi wa utolewaji wa huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi katika hosptali ya rufaa ya KCMC. |
| Baadhi ya mameneja na wafanyakazi wa CRDB wakifuatilia hafla hiyo. |
| Tawi dogo la Benki ya CRDB lililozinduliwa katika hospitali ya rufaa ya KCMC . |
0 comments:
Post a Comment