Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
![]() |
| Wakazi wa Kitongoji cha Bogini wakiwa wamejitikeza kwenye Msaragambo kwa ajili ya kuchimba na kufukia kwa vifusi maeneo ambayo ni mapitio ya maji kwenda kwenye makazi ya watu. |
![]() |
| Wakazi wa kata ya Mabogini wakiwa katika Msaragambo. |
![]() |
| Shughuli ya kuziba maeneo korofi iliendelea. |
![]() |
| Hata wale wasio na vitendea kazi walilazimika kutumia mikono kufanya shughuli hiyo. |
![]() |
| Sehemu ya barabara ikizibwa na mabaki ya mmatofari ya kuchoma. |
![]() |
| Shughuli ya kuziba maeneo hayo ikiwa imekamilika . |

![]() | ||||||||||||||||||
| Sehemu ya barabara hiyo kama inavyoonekana mashimo ambayo yamekuwa chanzo cha uharibifu wa vyombo vya usafiri katika maeneo hayo zikiwemo daladala. |
Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.









0 comments:
Post a Comment