Home » » KAMANDA BOAZ WA KILIMANJARO ATOA ZAWADI KWA TIMU YA POLISI-KILIMANJARO YA MCHEZO WA KARATE

KAMANDA BOAZ WA KILIMANJARO ATOA ZAWADI KWA TIMU YA POLISI-KILIMANJARO YA MCHEZO WA KARATE

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro SACP ,Robert Boaz akimvisha medali asakari Dominick Mafuru mmoja wa washindi wa mashindano ya mchezo wa Karate yaliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mchezo wa Karate ambao ni askari polisi,Kabelwa Ferdinando(katikati) na Wembo Ailala.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro .Robert Boaz akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mchezo wa Karate ambao ni askari polisi mkoa wa Kilimanjaro
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Robert Boaz akimkabidhi kikombe kiongozi wa timu ya Polisi-Kilimanjaro ya mchezo wa Karate mara baada ya kufanikiwa kushinda katika mashindano ya mchezo huo yaliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi.


Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

Michuzi media Group

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa