Home » » MFAHAMU MAMA SHUJAA WA CHAKULA KUTOKA MKOA WA KILIMANJARO ANAYETARAJIA KUINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS SIKU YA JUMAPILI WIKI HII!

MFAHAMU MAMA SHUJAA WA CHAKULA KUTOKA MKOA WA KILIMANJARO ANAYETARAJIA KUINGIA KIJIJI CHA MAISHA PLUS SIKU YA JUMAPILI WIKI HII!

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
UPENDO MBAZI MSUYA  (38) ni mkazi wa Mwanga Kilimanjaro nambari yake ya ushiriki ni MS 11, ni mkulima wa shamba lenye ukubwa wa ekari 2 na mfugaji wa ng'ombe 3.


ANADHANI YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu mara nyingi huwashauri wakulima wenzie kulima kwa wakati na kupanda mbegu bora na kwa kipimo, kutumia mbolea na kunyunyizia dawa pindi wadudu wanapoharibu mazao. "Nina shamba lenye ukubwa wa ekari 2. Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 20"

MAISHA PLUS/ MAMA SHUJAA WA CHAKULA

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa