Home » » MUWSA YAWAPATIA MAJI WAKAZI WA ENEO LA SHABAHA WILAYA YA MOSHI VIJIJINI.‏

MUWSA YAWAPATIA MAJI WAKAZI WA ENEO LA SHABAHA WILAYA YA MOSHI VIJIJINI.‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Mkuu wa mkoa wa Kilimnjaro ,Amos Makala akiwa ameongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya wkurugenzi wa  Mamlaka ya maji sfi na usfi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Sharry Raymond kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa usambazaji wa maji katika eneola Shabaha,wilaya ya Moshi vijjini.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na u safi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA ,Joyce Msiru akiwasili katika eneo la mradi huo.
Baadhi ya viongozi walifika kwa ajili ya uzinduzi wa mradi huo,kutoka kushoto ni Mwenykiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila,Mbunge wa Moshi mjini na mjumbe wa bodii ya Muwsa ,Jafary Michael wakiwana Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi MUWSA,Sharry Raymond.
Baadhi ya wajumbe wa Bodiya Wakuugenzi ya MUWSA,kutoka kulia ni Hajira Mmambe,Elizabeth Minde,na Mhandisi Alfedy Shayo.
Makamu Mwenykiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya MUWS,Profesa Faustine Bee akifanya utamburisho wa  wageni mbalimbali waliofika katika eneo la Shabaha kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa maji.
Baadhi ya wafanyakazi wa MUWSA.
Diwani wa kata ya Mabogini ,Emnuel Mzava akizungumza wkati wa uzinduzi wa mradi wa maji katia eneola Shabaha lililopo katika kata yake.
Baadhi ya Viongozi wa MUWSA,kutoka kushoto ni Mkaguzi wa ndani wa MUWSA,Benson Maro,Meneja rasilimali watu Michael Konyaki na Meneja ufundi ,Mhandisi Patrick Kibasa.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjni Moshi,MUWSA,Joyce Msiru  akitoa taarifa juu ya utekelezaji wa mradi wa maji katika eneo la Shabaha ambao umetumia siku 25 hadi kukamilika kwake.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjni Moshi,MUWSA,Joyce Msiru  akikabidhi taarifa y utekelezaji wa mradi huo kwa Mkuu wa mkoa wa Kilimnjaro,Amosi Makala aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mradi huo wa maji.
Baadhi ya wafanyakazi wa MUWSA.
Kikundi cha Ngoma cha Msnja kikitumbuiza wakati wa  uzinduzi huo.
Baadhi ya wananchi waliofika katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ,Shrry Raaymond akizungumza katika uzinduzi huo.
Badhi ya wfanyakazi wa Mamlka ya maji safi na usafi wa Mazingir mjini Moshi (MUWSA).
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi w mradi wa maji katik eneo la Shbaha wilaya ya Moshi vijijini.
Mkuu w mkoa Makala akifungua maji ktika moja ya Kilula katka eneo la Shbh wilaya ya Moshi vijijini.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akimbebesha ndoy maji mmoja wa wakazi katika eneo la Shabaha mara baada ya kuzindua mradi huo.  
Mkuu wa wilaya y Moshi,Novatus Makunga akizungumza wkati wa uzinduzi huo.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjro,Amosi Makala akifurahia jambo wakati akitoa hotuba yake ya uzinduzi wa madi wa maji katika eneo la Shabaha.
Baadhi ya wafanykazi wa MUWSA.
Mwenyekiti wa Bodi ya MUWSA,Sharry Raymond akimkaribisha Mbunge wa Jimbo la  Moshi mjini Jafary Michael ,
Mbunge wa Jibo la Moshi mjini,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya MUWSA ,Sharry Raymond  akimkaribisha Mwenyekiti wa Halmashuri ya wilaya ya Moshi ,Michael Kilawila .
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo.
Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro,Amos Makala akifurahia jambo na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael mara baada ya uzinduzi wa mradi w maji wa Shabaha.
Mkuu wa wilaya ya Moshii ,Novatus Makunga akifurahia jambo na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael mara baada ya uzinduzi wa mradi w maji wa Shabaha.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA)
Wafanyakazi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Mosi,MUWSA,wakifurahi mara baada ya kukamilisha mradi wa maji katiika eneo la Shabaha.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kskazini.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa