Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
![]() |
| Baadhi ya watoto kutoka kata 16 za jimboo la Vunjo walioandaliwa sherehe ya kuukarbisha mwaka mpya wa 2016 na Chama cha NCCR-Mageuzi katika jimbo la Vunjo. |
![]() |
| Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama cha NCR-Mageuzi,Corona Kundi akizungumza na watoto |
![]() |
| Baadhi ya watoto wlfika kwa ajili ya sherehe hiyo. |
![]() |
| Mbunge w viti maalum kpitia NCCR-Mageuzi Eveline Lyimo akiongea na watoto. |
![]() |
| Watoto wishio katika mazingira magumu wakifurahia wakati wa sherehe iliyoandaliwa na Mbunge wa jimbo l Vunjo,James Mbatia pamoja na mbunge wa afrika mashariki,Ndelakindo Kessy. |
![]() |
| Mbunge Ndelkindo Kessy akiongea na watoto. |
![]() |
| Watoto wakichukua Chakula . |
![]() |
| Watoto wakila Chakula. |




















0 comments:
Post a Comment