![]() |
| Meneja wa Benki ya NMB tawi la Moshi,Emanuel Kishosha akishiriki na wafanyakazi wenzake katika zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya uwanja wa michezo wa King George. |
![]() |
| Waganyakazi wa Benki ya NMB wa matawi ya Mandela na Mawenzi wakishiriki zoezi la usafi . |
![]() |
| Wafanyakazi wa NMB wakihakikisha hakuna uchafu unasalia katika uwanja wa michezo wa King George. |
![]() |
| Kazi ya ukusanyaji taka ikiendelea. |
![]() |
| Kila mfanyakazi alishiriki zoezi la usafi bila ya kuchoka. |
![]() |
| Meneja wa NMB,Emanuel Kishosha akisukuma tololi kuzoa taka. |































0 comments:
Post a Comment