Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Muonekano
wa vipita shoto katika mji wa Moshi unavyoonekana ikiwa ni sehemu ya
maandalizi ya Mbio za Kimataifa za Kilimanjaro Marathoni zitakazofanyika
Jumapili hii.
Baadhi
ya wajasliamali wakiwa wamewek bidhaa zao nje ya Hotel ya Keys kunako
fanyika zoezi la uandikishaji wa washiriki wa mbio hizo.
a za Kil Baadhi ya washiriki wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni wakijiandikisha katika moja ya banda yaliyopo Hotel ya Keys.
Baadhi
ya washiriki wa Mbio za Km 42 zinazodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro
Premium Lager wakijaza fomu wakiti wakijiandikisha katika Hotel ya Keys.
Wakimbiaji
wa Mbio za KM 21 zinazodhaminiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya simu za
mkononi ya Tigo wakijiandikisha katika Hotel ya Keys mjini Moshi.
Washiriki
wa Mbio za walemavu zinazodhaminiwa na kampuni ya GAPCO wakijiandikisha
katika banda lililopo katika Hotel ya Keys mjini Moshi.
Hotel ya Keys ambako zoezi la uandikishaji wa washiriki wa mbio za Kimataifa za Kiliamanjaro Marathoni unafanyika.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
0 comments:
Post a Comment