Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Lwenge akiondosha kitambaa kuashiria
uwekaji wa jiwe la msingi katika mradi wa Maji wa chanzo cha maji cha
Chemichemi ya Kisimeni.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru ,akimuongoza Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge
alipofika kwa ajili ya uzidunzi wa mradi wa chanzo cha maji cha
Kisimeni.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru ,akitoa maelezo kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson
Lwenge juu ya mradi wa chanzo cha maji cha Kisimeni .kushoto kwake ni
Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga.wengine ni Makamu Mwenyekiti wa
Bodi ya wakurugenzi wa MUWSA,Prof,Faustine Bee,(kushoto) na
anayemfuatia ni Mkurugezi wa Halamshauri ya Manspaa ya Moshi,Jesh
Lupembe.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru ,akitoa maelezo kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson
Lwenge juu ya mradi wa chanzo cha maji cha Kisimeni
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru ,akitoa maelezo ya hatua mbalimbali yanapo chukuliwa maji kutoka
katika Chemichemi ya Kisimeni kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi
Gerson Lwenge alipofika kwa ajili ya uzidunzi wa mradi wa chanzo cha
maji cha Kisimeni .
Meneja
ufundi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi
MUWSA,Mhandisi Paatrick Kibasa akimueleza Waziri wa Maji na Umwagiliaji
,Mhandisi Geryson Lwenge namna ambavyo maji yanayopatikana katika
chemichemi ya Kisimeni yanavyotibiwa kabla ya kwenda kwa mtumiaji wa
mwisho.
Waziri Lwenge akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael walipokutana katika uzinduzi wa mradi huo.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Lwenge akitia saini katika kitabu cha
wageni alipofika katika mradi wa Chemichemi ya Kisimeni kwa ajili ya
uzinduzi.anayeshuhudia ni mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa
Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Lwenge akiwasili katika viwamja vya
shule ya sekondari ya Longuo kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa eneo
hilo watakaofaidika na uzinduzi wa mradi huo wa maji.
Vijana wa Skauti wakimvisha Skafu Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Mhandisi Lwenge alipowasili uwanjani hapo.
Diwani
wa kata ya Uru Kaskazini,Wilhad Kitally akizungumza wakati wa uzinduzi
wa Mradi wa chanzo cha maji chemi chemi ya Kisimeni.
Mameneja wa idara mbalimbali katika Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika uzinduzi huo.
Makamu
mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa
Mazingira mjini Moshi,MUWSA,Prof Faustine Bee akizungumza katika
uzinduzi huo.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,Joyce
Msiru akitoa taarifa ya mamlaka hiyo kwa Mh,Waziri wa maji na
umwagiliaji ,Mhandisi Geryson Lwenge pamoja na taarifa ya mradi wa maji
ya Chemichemi ya Kisimeni ambao umetekelezwa ndani ya siku 100.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,Joyce
Msiru akikabidhi taarifa ya mamlaka hiyo kwa Mh,Waziri wa maji na
umwagiliaji ,Mhandisi Geryson Lwenge.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji,Mhandisi Geryson Lwenge akitoa hotuba yake
wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji yanayotokana na Chemichemi ya
Kisimeni.
Wanafunzi wa Shule ya msingi ya Longuo wakitoa burudani ya wimbo wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa maji wa Kisimeni.
Mkurugenzi wa MUWSA ,Joyce Msiru akiwatunza waimbaji wa kikundi cha Msanja duzi kilichotoa burudani katika uzinduzi huo.
Mkaguzi
wa Mahesabu wa ndani wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira
mjini Moshi,MUWSA,Benson Maro akiwatunza waimbaji wa kikundi cha Msanja.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Lwenge akizindua rasmi mradi wa maji katika kata Uru kaskazini.
Waziri Lwenge akimbebesha ndoo mmoja wa wakazi wa Longuo mara baada ya kufanya uzinduzi wa mradi huo.
Mgeni
rasi katika uzinduzi huo ,Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Geryson Lwenge
akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi,mameneja wa mamlaka
hiyo na viongozi wengine waliofika katika uzinduzi huo.
Wakuu
wa wilaya ,Anhtony Mtaka,(wilaya ya Hai) Novatus Makunga (wilaya ya
Moshi mjini ) na Mbunge wa Moshi vijijini Anthony Komu wakiwa katika
picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
0 comments:
Post a Comment