Home » » TIGO YAZINDUA 4G LTE SAME MKOANI KILIMANJARO

TIGO YAZINDUA 4G LTE SAME MKOANI KILIMANJARO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Habari za leo mdau tafadhali pokea codes,
  Katibu Tawala wa Wilaya ya Same Sospeter Mabenga, akihutubia wakati wa kuzindua mtandao wenye kasi wa 4G LTE, hafla ambayo ilifanyika jana mjini Same.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mononi ya Tigo wakishuhudia uzinduzi wa mtandao wa 4G LTE, uliofanyika jana mjini Same.

Baadhi ya wakazi wa mji wa Same wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi, Katibu Tawala wa Wilaya ya Same Sospeter Mabenga 

   Katibu Tawala wa wilaya ya Same Sospeter Mabenga (kulia) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa mtandao wa 4G LTE uliofanyika jana mjini Same, wengine kutoka kushoto ni wafanyakazi wa kampuni ya simu za mononi ya Tigo Tanzania, Mwajuma Mshana, Patrick Utouh na Vitalis Stephen.

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini George Lugata akimkabidhi mgeni rasmi zawadi ya line mpya ya 4G LTE kwa ajili ya matumizi yake    


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa