Afisa uhusiano wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini
Moshi (MUWSA) Dollah Kilo akifurahia jambo na naibu waziri wa maji Dk
Binilith Mahenge wakati akitembelea tangi la maji la kampni ya maji ya
Kiliwater wilayani Rombo.
Tangi la maji la Kampuni ya Kiliwater linalohifadhi maji kwa ajili ya
wakazi wa wilaya ya Rombo.
Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akipanda katika ngazi ya
tangi la maji la kampuni ya Kiliwater kujionea hali ya ujazo wamji
ikoje katika tangi hilo.
Naibu wziri wa maji Dk Binilith Mahenge akizungumza na watendaji wa
maji wilaya ya Rombo juu ya tangi la maji la kampuni ya Kiliwater.
Naibu wziri wa maji Dk Binilith Mahenge akitizama sehemu ya
kuchanganyia dawa katika tangi la maji la kampuni ya maji la
Kiliwater.
Mkurugenzi wa mamlaka ya maji na maji safi mjini Moshi Cyprian
Luhemeje akiongea jambo mbele ya naibu waziri wa maji Dk Binilith
Mahenge mara baada ya kutembelea miradi ya maji katika wilaya ya
Rombo.
Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii ,Moshi.
Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii ,Moshi.
1 comments:
Ubunifu zaidi unahitajika katika uzalishaji na maboresho katika usamabazaji maji kwenye vijiji na kaya za kata ya Mamba Kusini.
Post a Comment