Home » » Naibu waziri wa maji atembelea miradi ya maji Kiliwater

Naibu waziri wa maji atembelea miradi ya maji Kiliwater


Afisa uhusiano wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi (MUWSA) Dollah Kilo akifurahia jambo na naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge wakati akitembelea tangi la maji la kampni ya maji ya Kiliwater wilayani Rombo.
Tangi la maji la Kampuni ya Kiliwater linalohifadhi maji kwa ajili ya wakazi wa wilaya ya Rombo.
Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akipanda katika ngazi ya tangi la maji la kampuni ya Kiliwater kujionea hali ya ujazo wamji ikoje katika tangi hilo.
Naibu wziri wa maji Dk Binilith Mahenge akizungumza na watendaji wa maji wilaya ya Rombo juu ya tangi la maji la kampuni ya Kiliwater.
Naibu wziri wa maji Dk Binilith Mahenge akitizama sehemu ya kuchanganyia dawa katika tangi la maji la kampuni ya maji la Kiliwater.
Mkurugenzi wa mamlaka ya maji na maji safi mjini Moshi Cyprian Luhemeje akiongea jambo mbele ya naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge mara baada ya kutembelea miradi ya maji katika wilaya ya Rombo. 
Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii ,Moshi.

1 comments:

ray njau said...

Ubunifu zaidi unahitajika katika uzalishaji na maboresho katika usamabazaji maji kwenye vijiji na kaya za kata ya Mamba Kusini.

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa