Home » » Tukio katika Picha: TBS wafanya operesheni ya kukamata nguo za ndani katika masoko ya Moshi

Tukio katika Picha: TBS wafanya operesheni ya kukamata nguo za ndani katika masoko ya Moshi


Mmoja wa wauzaji wa nguo za mitumba katika soko la Meimoria akiwa amejificha chini ya meza ya kuuzia nguo kukwepa askari polisi pamoja na maofisa wa shirika la viwango Tanzania (TBS) wakati wakifanya operesheni ya kukamata wauzaji wa nguo za ndani.Mwananmke huyo alitoka chini ya meza baada ya kubembelezwa na wenzake hata hivyo wakati askari polisi akimtaka kwenda kupanda gari la polisi mwanamke huyo alikimbilia tena chini ya meza hiyo,askari polisi wakalazimika kumucha.
Akijieleza kwa askari Polisi.
Askari polisi wakikusanya nguo za ndani katika soko la Meiomoria wakati wa operesheni ya kukamata wauzaji wa nduo hizo zilizopigwa marufuku.
Askari polisi akimsindikiza mwanamke mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja baada ya kukutwa akiuza nguo za ndani zilizopigwa marufuku katika soko la Meimoria mjini Moshi.

BOFYA HAPA KWA TUKIO KAMILI

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa