Home » » KUMBUKUMBU YA MAREHEMU JOACHIM BWANAMPINI LEBABU KIRAMBATA‏

KUMBUKUMBU YA MAREHEMU JOACHIM BWANAMPINI LEBABU KIRAMBATA‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

picha ya Marehemu Baba
KUZALIWA     02/02/1945          KUFA 04/05/2013
TAREHE 04/05/2014 UMETIMIA MWAKA MMOJA KAMILI TANGU
MWENYEZI MUNGU AKUITE.
ILIKUWA SIKU YA MAJONZI MAKUU KATIKA FAMILIA YETU.
KIFO KILITOKEA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI DSM.
UNAKUMBUKWA SANA NA  FAMILIA YAKO, MKE WAKO BI MARY KIRAMBATA, WATOTO WAKO LILIAN, JOSEPH, FILBERT, FLORENSO, FLORA, JANUARY, OCTAVIAN WAKWE ZAKO ENGELBERT, VIRGINIA, & DEVOTHA WAJUKUU ZAKO CELINE, MARYANNE, MELISA, ROSE, HENRICK, FLORENCE & JEREMIA NDUGU JAMAA MAJIRANI ZAKO, NA MARAFIKI ZAKO, NA WENGINE WOTE WANAKUKUMBUKA KILA MMOJA KWA NAMNA YA PEKEE.
MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU ITAFANYIKA TAREHE 02/05/2014 SIKU YA IJUMAA SAA 4.00ASUBUHI NYUMBANI KWAKE OLELE ROMBO.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA KWA WATAKATIFU WAKE.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE MILELE.
AMEN.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa