Waziri wa maji Prof Jumanne Maghembe akiteta jambo na Niabu Meya wa manispaa ya Moshi Dk Mmbando ikulu ya mjini Moshi.
 |
Viongozi mbalimbali wa chama na serikali wakijiandaa kumpokea rais Kikwete alipowasili mjini Moshi.
|
Rais Kikwete
akiwasili ikulu mjini Moshi akipokelewa na mwenyeji wake mkuu wa mkoa
wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim
Msengi.
 |
Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi pamoja na wananchi waliofika ikulu ya Moshi.
|
 |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizungumza mara baada ya rais kuwasili ikulu mjini Moshi kwa ajili ya ziara wilayani Mwanga . |
 |
Baadhi ya wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wa chama na serikali.
Baadhi ya wanannchi wakiwemo makada wa chama cha mapinduzi wakiwa Ikulu ya Moshi kungojea rais Jakaya Kikwete.
|
 |
| Baadhi ya wageni wakisalimiana |
 |
| Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas akiteta jambo na mkuu wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi ,Matanga Mbushi. Picha Na Dixon Busagaga |
0 comments:
Post a Comment