Home » » NDESAMBURO ATANGAZA KUTOGOMBEA JIMBO LA MOSHI MJINI, AMUACHIA MIKOBA MEYA JAFARY MICHAEL

NDESAMBURO ATANGAZA KUTOGOMBEA JIMBO LA MOSHI MJINI, AMUACHIA MIKOBA MEYA JAFARY MICHAEL

Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimtambulisha Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary kuwa mrithi wake wa kiti cha ubunge katika jimbo hili wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi oktoba.
Ndesamburo akizungumza na wananchi wa Moshi mara baada ya kumtangaza mrithi wake katika jimbo la Moshi mjini.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kilimanjaro Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa